Ihefu - Local - Yanga

Mambo ni magumu kwa Ihefu Fc

Joel JJ By Joel JJ
β€’
27 Nov 2023
Mambo ni magumu kwa Ihefu Fc

Ihefu Fc kutoka Mbarali mkoani Mbeya ina wakati mgumu baada ya kucheza mechi saba mfululizo pasipo ushindi katika ligi kuu ya NBC

Jana Ihefu Fc walilazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya JKT Tanzania ukiwa ni mchezo wao wa saba mfululizo bila ya ushindi

Mara ya mwisho Ihefu Fc kupata ushindi ilikuwa dhidi ya Yanga Oktoba 05 wakipata ushindi wa mabao 2-1 kwenye uwanja wao wa Highland Estates, Mbarali

Kocha Mkuu wa timu hiyo Moses Basena aliyechukua mikoba iliyoachwa na Zuberi Katwila aliyetimkia Mtibwa Sugar, bado hajaonja radha ya ushindi katika michezo mitano aliyoiongoza Ihefu

Katika mechi 7, Ihefu imeambulia sare mechi mbili tu na vipigo vitano. Inashika nafasi ya 13 kwenye msijmamo wa ligi ikiwa imekusanya alama 9

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
8h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
8h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
8h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
12h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
15h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
16h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
17h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
18h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
19h ago
READ MORE β†’