Yanga - Local

Gamondi apania ushindi dhidi ya Al Ahly

Joel JJ By Joel JJ
β€’
1 Dec 2023
Gamondi apania ushindi dhidi ya Al Ahly

Kocha Mkuu wa Miguel Gamondi amesema kikosi kimepata muda mzuri wa kufanya maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari mapema leo, Gamondi alisema mchezo wa kwanza walikuwa na changamoto baadhi ya wachezaji kukabiliwa na uchovu kutokana na majukumu ya timu za Taifa lakini kuelekea mchezo wa kesho wamekuwa na muda mzuri wa kupumzika pamoja na kufanya maandalizi

"Nafurahi tumekuwa na muda mzuri wa kufanya maandalizi na kupata mapumziko hivyo kimsingi tuko tayari kwa mchezo dhidi ya Al Ahly"

"Tunajua utakuwa mchezo mgumu kwani tunakwenda kukabiliana na timu kubwa zaidi barani Afrika. Lakini nina imani na kundi hili la wachezaji nilionao wanaweza kushindana na Al Ahly katika ushindano uliosawa"

"Hapa Yanga tunasema Daima Mbele, Nyuma Mwiko, tunacheza 11 dhidi ya 11 hivyo nina imani tutakwenda kushindana na nina matumaini tutapata matokeo mazuri," alisema Gamondi

Aidha Gamondi aliongeza kuwa wamefanyia kazi makosa waliyofanya katika mchezo uliopita na jambo muhimu kwao kesho watahakikisha hawatarudia makosa hayo

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
28m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’