Simba - Local

Simba yapoteza mchezo dhidi ya Wydad ugenini

Joel JJ By Joel JJ
β€’
10 Dec 2023
Simba yapoteza mchezo dhidi ya Wydad ugenini

Mchezo wa raundi ya tatu ligi ya mabingwa kati ya Wydad dhidi ya Simba uliopigwa uwanja wa Marrakesh umemalizika kwa Wydad kupata ushindi wa bao 1-0

Ni matokeo ya kuumiza sana kwani bao hilo wamefunga kwenye dakika za majeruhi

Kwa dakika zote 90 za mchezo Simba ilicheza vyema sana hata hivyo makosa yaliyofanyika dakika za majeruhi yameigharimu Simba kuacha alama zote tatu

Sio matokeo mazuri kwa Simba kwani ni wazi yanaongeza mlima katika malengo ya kufuzu hatua inayofuata

Bado alama tisa ziko mezani kushindaniwa zikiwemo mechi mbili uwanja wa nyumbani dhidi ya Wydad na Jwaneng

Mchezo unaofuata dhidi ya Wydad utapigwa Disemba 19, ni lazima kwa Simba kushinda mchezo huu

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’