Singida - Local - Transfer

Singida FG yanasa beki Botswana

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 Dec 2023
Singida FG yanasa beki Botswana

Klabu ya Singida Fountain Gates inadaiwa kuwa kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa mlinzi wa kushoto raia wa Botswana Benson Kitso Mangolo

Benson ambaye amewahi kuwa mchezaji bora wa mwaka nchini Botswana, anaitumikia Jwaneng Galaxy inayoshiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Mkataba wake na timu hiyo unafikia ukingoni Disemba 31 na atajiunga na Singida FG Januari 01 2024

Dirisha dogo la usajili litafunguliwa Disemba 16 na kufungwa Januari 15 hivyo ataweza kuitumikia Singida FG katika msimu huu

Hata hivyo kabla ya kukamilisha usajili wake Singida FG itapaswa kulipa madai ya wachezaji walioshinda kesi za madai dhidi ya timu hiyo FIFA

Beki Pascal Wawa ni miongoni mwa wachezaji wanaoidai Singida FG na haitaruhusiwa kusajili kama haitalipa madai yote

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
3h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
5h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
6h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
6h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’