Yanga - Local - Fountain - Singida

Yanga Princess yashika nafasi ya tatu Ngao ya Jamii

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 Dec 2023
Yanga Princess yashika nafasi ya tatu Ngao ya Jamii

Mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu Ngao ya Jamii kwa Wanawake umemalizika kwa Yanga Princess kuibuka na ushindi dhidi ya Fountain Gate Princess kupitia changamoto ya mikwaju ya penati

Ni baada ya dakika 90 za mchezo huo kumalizika kwa suluhu ya bila kufungana na Yanga Princess kushinda mikwaju ya penati 4-2

Yanga Princess walipoteza mchezo wa nusu fainali dhidi ya Simba Queens kwa mikwaju ya penati 5-4 baada ya matokeo ya 0-0 wakati Fountain Gate Princess walichapwa mabao 5-0 na JKT Queens katika mchezo wa nusu fainali

Simba Queens na JKT Queens zinachuana katika mchezo wa fainali utakaopigwa saa 12 jioni

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’