Haaland anakaribia kurejea uwanjani

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Dec 2023
Haaland anakaribia kurejea uwanjani

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amethibitisha kuwa Erling Haaland atakosa mechi ya mwisho ya klabu hiyo hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa siku ya Jumatano

Lakini Guardiola alitoa habari njema kwa mashabiki wa Manchester City juu ya jeraha la mshambuliaji huyo kabla ya mechi ya wikendi hii dhidi ya Crystal Palace

"Atarudi nadhani Alhamisi. Tutaona jinsi anavyojisikia," alisema Guardiola katika mkutano na wanahabari kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Red sar

Akitoa maoni yake iwapo atapatikana Jumamosi, meneja huyo wa zamani wa Barcelona aliongeza;

"Sijui kama atacheza dhidi ya Palace, Mkutano unaofuata wa waandishi wa habari ninaweza kuwa sahihi zaidi kuhusu hali yake"

Pamoja na Haaland, winga Jeremy Doku pia hatacheza sehemu yoyote dhidi ya Red Star kwani anasumbuliwa na tatizo la misuli.

ADVERTISE HERE

More Stories

Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
1h ago
READ MORE β†’
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
1h ago
READ MORE β†’
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
2h ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
2h ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
3h ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
6h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
8h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
9h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
9h ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
11h ago
READ MORE β†’