Yanga yaichapa Mtibwa Sugar 4-1

Joel JJ By Joel JJ
β€’
16 Dec 2023
Yanga yaichapa Mtibwa Sugar 4-1

Yanga imebeba alama zote tatu uwanja wa Azam Complex baada ya kuichapa Mtibwa Sugar mabao 4-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Stephane Aziz Ki ameendeleza kasi yake ya kupachika mabao msimu huu akiweka kambani mabao mawili sasa akiongoza orodha ya wafungaji bora akifikisha mabao 9

Bao la kwanza alifunga kupitia mkwaju wa penati mwishoni mwa kipindi cha kwanza baada ya Clement Mzize kuangushwa ndani ya eneo la hatari

Bao la pili alifunga katika kipindi cha pili akipokea pasi kutoka kwa Kibwana Shomari

Kennedy Musonda akafunga bao la tatu kwa guu la kushoto baada ya pasi ya kichwa kutoka kwa Jesus Moloko

Skudu leo amemtumia ujumbe kocha Miguel Gamondi kuwa anahitaji nafasi ya kucheza akionyesha kiwango, akiifungia Yanga bao la nne

Bao la kufutia machozi kwa upande wa Mtibwa Sugar lilifungwa Seif dakika za lala salama

ADVERTISE HERE

More Stories

Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
1m ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
51m ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
3h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
5h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
6h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
6h ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
8h ago
READ MORE β†’
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
9h ago
READ MORE β†’
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
9h ago
READ MORE β†’
Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or
Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or
21h ago
READ MORE β†’