Simba - Yanga - Local

Kombe la Dunia la klabu 2025 kushirikisha timu 32

Joel JJ By Joel JJ
β€’
18 Dec 2023
Kombe la Dunia la klabu 2025 kushirikisha timu 32

Mwaka 2025 michuano ya kombe la Dunia kwa klabu itafanyika nchini Marekani ambapo Afrika imepewa nafasi ya kupeleka timu nne katika michuano hiyo itakayoshirikisha timu 32

Afrika imepewa nafasi nne ambapo nafasi mbili tayari zimechukuliwa na Al Ahly na Wydad zilizoshinda taji la Ligi ya Mabingwa barani Afrika katika miaka minne iliyopita

Timu mbili (ukitoa Al Ahly na Wydad) ambazo zitakusanya alama nyingi katika ranking za CAF baada ya michuano ya ligi ya mabingwa ya mwaka huu basi zitaungana na Al Ahly na Wydad kushiriki michuano hiyo

Lakini pia timu itakayotwaa taji la Ligi ya Mabingwa msimu huu (kama sio Al Ahly, Wydad) itakuwa imekata tiketi moja kwa moja ya kushiriki michuano hiyo

Klabu za Simba na Yanga zinaweza kukata tiketi ya kushiriki michuno hiyo kama zitafanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa msimu

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
3h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
7h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
7h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
8h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
9h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
9h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
10h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
10h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
1d ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
1d ago
READ MORE β†’