Uwanja wa Amaan uko tayari kwa Mapinduzi Cup

Joel JJ By Joel JJ β€’ 18th December 2023


Uwanja wa Amaan uko tayari kwa Mapinduzi Cup

Uwanja wa Amaan Visiwani Zanzibar ambao ulifungwa kwa ajili ya ukarabati mkubwa, sasa umekamilika, uwanja huo uko tayari kwa matumizi

Michuano ya kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza Disemba 28 2023, itapigwa katika uwanja huo


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.