Barcelona wako tayari kupokea ofa ya kumuuza winga wa Brazil Raphinha, 27, huku Manchester United wakifikiria kupendekeza mpango wa kubadilishana utakaomhusisha mchezaji huyo wa zamani wa Leeds United na Sancho. (Sport - kwa Kihispania)
..... download Xtra 90 App



