Simba - Local - Transfer

Kinda Mzanzibar atua Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
1 Jan 2024
Kinda Mzanzibar atua Simba

Simba imekamilisha usajili wa kiungo, Saleh Karabaka (23) kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka mitatu

Taarifa ya usajili wa Karabaka imetangazwa kupitia tovuti ya klabu hiyo, mchana wa Januari Mosi, 2024 na unakuwa usajili wakwanza wa klabu hiyo katika dirisha hili dogo

"Karabaka tayari amejiunga na timu visiwani Zanzibar na ataanza kuonekana akiwa na jezi ya Mnyama katika michuano ya Mapinduzi inayoendelea," imeeleza taarifa ya Simba

Taarifa ya Simba inaeleza kuwa mbali na uwezo alionao Karabaka jambo jingine lililoivutia klabu hiyo ni umri mdogo ambao wanaamini atakuwa msaada mkubwa kwa timu

“Mchezaji chipuki ni hazina yetu kubwa na hakuna sehemu bora ya kumtambulisha zaidi ya aliyozaliwa na kukuza kipaji chake ambayo ni Zanzibar." Imeeleza taarifa hiyo.

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
40m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
52m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’