Liverpool - International

Klopp amuombea mabaya Salah AFCON 2023

Joel JJ By Joel JJ
β€’
7 Jan 2024
Klopp amuombea mabaya Salah AFCON 2023

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema hamuombei mema mchezaji wake Mohamed Salah kuelekea mashindano ya Mataifa ya Afrika β€˜AFCON’ yanayotarajiwa kuanza Ivory Coast Januari 13

Salah atakuwa nje ya kikosi cha Liverpool kwa ajili ya kulitumikia taifa lake la Misri kwenye AFCON

Vilevile Wataru Endo ambaye ni kapteni wa Timu ya Taifa ya Japan atakuwa kwenye majukumu ya timu hiyo kwenye mashindano ya Asian Cup yatakayofanyika Qatar kuanzia Januari 12

Ikiwa mataifa ya wachezaji hawa yatafanya vizuri kwenye mashindano haya, Liverpool italazimika kusubiri hadi wiki ya pili ya Februari mwaka huu ili kupata huduma zao

Hii ndio sababu Klopp kufichua kwamba hawatakii mema na anaombea watolewe mapema ili zaidi ni kuona wanarudi wakiwa wazima tu.

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
2h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
6h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
6h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
7h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
7h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
8h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
9h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
9h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
22h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’