Yanga - Simba - Local - Afcon

Yanga yapeleka saba Ivory Coast

Joel JJ By Joel JJ
7 Jan 2024
Yanga yapeleka saba Ivory Coast

Baada ya TFF kutoa orodha ya mwisho ya wachezaji 27 ambao wanakwenda kushiriki michuano ya Afcon 2023 itayoanza wiki ijayo nchini Misri, Yanga iimetoa jumla ya wachezaji saba katika Mataifa mbalimbali wanaokwenda kushiriki michuano hiyo

Katika timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Ibrahim Bacca, Dickson Job, Bakari Mwamnyeto na Mudathir Yahya wamepenya katika orodha ya mwisho

Djigui Diarra (Mali), Stephane Aziz Ki (Burkina Faso) na Kennedy Musonda Zambia wanakamilisha idadi ya wachezaji 7 wa Yanga ambao watakuwa Ivory Coast

Yanga ni miongoni mwa timu zilizotoa wachezaji wengi katika michuano hiyo

Mamelodi Sundowns wanaongoza wakitoa wachezaji 11, Al Ahly ikitoa wachezaji 10, Pyramids wachezaji 9 na Yanga ikitoa wachezaji 7 

Klabu ya Simba imetoa wachezaji ambapo wanne katika timu ya Taifa ya Tanzania na wawili wa nje

Aishi Manula, Mohammed Hussein, Mzamiru Yassin na Kibu Denis wamepenya katika orodha ya mwisho ya Stars wakati Clatous Chama akijumuishwa Zambia na Hennock Inonga (DR Congo)

More Stories

Pyramids ya mokwena haishikiki misri, yaandelea kuongoza msimamo
Pyramids ya mokwena haishikiki misri, yaandelea kuongoza msimamo
44m ago
READ MORE →
EPL kuendelea leo kwa dabi ya London kati ya Brentford dhidi ya Chelsea
EPL kuendelea leo kwa dabi ya London kati ya Brentford dhidi ya Chelsea
1h ago
READ MORE →
Yanga yapambana kuondoa kadi nyekundu ya Aziz Ki kabla ya derby ya simba
Yanga yapambana kuondoa kadi nyekundu ya Aziz Ki kabla ya derby ya simba
4h ago
READ MORE →
Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
22h ago
READ MORE →
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
23h ago
READ MORE →
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
1d ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
1d ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
1d ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
1d ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
1d ago
READ MORE →