Real Madrid wanamfuatilia beki wa kati wa Everton na England aliye chini ya umri wa miaka 21 Jarrad Branthwaite, 21. (Mail) Kiungo wa kati wa Everton na Ubelgiji Amadou Onana, 22, anataka kuhamia Arsenal . (Sacha Tavolieri)
..... download Xtra 90 App



