Ajax wana nia ya kumsajili kiungo wa kati wa Uingereza Jordan Henderson kutoka klabu ya Saudi Pro League Al-Ettifaq lakini wanakabiliwa na ushindani kutoka kwa vilabu vya Premier League na Bundesliga kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 . (ESPN)
..... download Xtra 90 App



