Mlandege - Simba - Local

Ni Simba vs Mlandege, fainali kombe la Mapinduzi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Jan 2024
Ni Simba vs Mlandege, fainali kombe la Mapinduzi

Hatimaye michuano ya kombe la Mapinduzi iliyoanza kutimua vumbi Disemba 28 2023, inahitimishwa leo kwa mchezo wa fainali kupigwa kati ya Mlandege dhidi ya Simba

Ni saa 2:15 usiku mchezo wa fainali utapigwa katika uwanja wa New Amaan Complex bingwa wa michuano hiyo akiondoka na kitita cha Tsh Milioni 100

Simba itakuwa ikiwania taji la tano la michuano hiyo wakati Mlandege Fc ambao ndio mabingwa watetezi, wanawania taji la pili

Pamoja na Simba kupewa nafasi ya kutwaa ubingwa kutokana na ubora wa kikosi chake, lakini hakuna mechi rahisi ya fainali

Kocha Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha atakuwa akiwania taji lake la kwanza tangu alipojiunga na Simba

Baada ya kutwaa Ngao ya Jamii mwanzoni mwa msimu, hii ni nafasi nyingine kwa Simba kuongeza taji la pili kabatini katika msimu huu

Mlandege watakuwa na faida ya kucheza katika ardhi ya nyumbani na pengine watakuwa na sapoti ya kutosha licha ya ukubwa wa Simba

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
35m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
47m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’