Simba - Local

Mlandege mabingwa kombe la Mapinduzi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Jan 2024
Mlandege mabingwa kombe la Mapinduzi

Mlandege wametetea kombe la Mapinduzi kwa msimu wa pili mfululizo baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba katika mchezo wa fainali uliopigwa uwanja wa New Amaan Complex

Bao pekee la Mlandege lilifungwa na Joseph Akandwanao raia wa Jamaica kwenye dakika ya 54

Ulikuwa mchezo wa upande mmoja kwa muda mwingi Simba ikitawala lakini bado changamoto ya Simba ni ileile, kushindwa kutumia nafasi

Simba inaondoka Zanzibar na kitita cha Tsh Milioni 70 baada ya kumaliza nafasi ya pili huku Mlandege wakibeba Tsh Milioni 100 za ubingwa

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
1m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
29m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’