Tanzania - Taifa Stars - Yanga - Simba - Azam - Local

Ni ushindi tu dhidi ya DR Congo leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
24 Jan 2024
Ni ushindi tu dhidi ya DR Congo leo

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo inaweza kuandka rekodi mpya ya kufuzu hatua ya mtoano michuano ya Afcon 2023 inayoendelea huko Ivory Coast katika mchezo dhidi ya DR Congo

Tanzania inahitaji kushinda mchezo huo ili kujihakikishia tiketi hiyo na itakuwa ni mara ya kwanza kufikia mafanikio hayo

Hii ni mara ya tatu Tanzania inashiriki Afcon na tayari imefanikiwa kupata alama moja jambo ambalo halikuwezekana katika awamu mbili zilizopita

Kaimu Kocha Mkuu wa Tanzania Hamed Morocco amesema wanakwenda katika mchezo huo wakiwa na lengo moja la kusaka ushindi huku nahodha wa kikosi hicho Mbwana Samatta akiahidi timu kupambana ili kuhakikisha wanapata matokeo muhimu ambayo yatawavusha

Mechi haitarajiwi kuwa nyepesi kwani DR Congo wenye alama mbili pia wanahitaji ushindi ili kusonga mbele

Alama moja pia inaweza kuwatosha DR Congo kusonga mbele kupitia 'best looser' kama itatokea Zambia kuifunga Morocco katika mchezo mwingine

Kila la kheri Taifa Stars, kila la kheri Tanzania

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
28m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
17h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’