Yanga - Simba - Azam - Local

TPLB kutangaza tarehe ya Ligi kurejea

Joel JJ By Joel JJ
β€’
26 Jan 2024
TPLB kutangaza tarehe ya Ligi kurejea

Bodi ya Ligi wakati wowote itatangaza kuendelea kwa ratiba baada ya timu za Taifa za Tanzania na Zambia kutolewa katika michuano ya Afcon 2023 inayoendelea huko Ivory Coast

Mtendaji Mkuu wa Bodi Almas Kasongo amesema wakati wowote kuanzia leo watatangaza tarehe ya ligi hiyo kurejea

Kasongo amesema kwa mujibu wa kanuni timu ambayo itakuwa na kuanzia wachezaji watatu katika timu ya Taifa, mechi zake zitasimama lakini kwa sasa hakuna timu ya ligi kuu ambayo ina wachezaji watatu au zaidi katika timu za Taifa

"Kama tulivosema toka awali, Ligi yetu itarejea rasmi pale tutakapokuwa tumerejea kutoka kwenye fainali za Afcon 2023, muhimu tunazingatia kanuni"

"Endapo klabu itakuwa na wachezaji wasiopungua watatu kwenye timu ya taifa maana yake michezo yake itasimama lakini kwa mazingira ambayo tunayo hulioni tena hilo"

"Kesho (leo) tutakaa kama Bodi kufanya majumuisho na kutangaza rasmi tarehe ya kurudi kwa Ligi Kuu ya NBC. Tunarudi vipi? tutarudi pale tulpoishia," alisema Kasongo

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
43m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
56m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’