Newcastle inaweza kumuuza mshambuliaji wa Uingereza Callum Wilson, 31, kwa £18m pekee katika wiki ya mwisho ya dirisha la uhamisho la Januari, huku Chelsea, Arsenal na Manchester United zote zikiwa zimetahadharishwa kuhusu kupatikana kwake. (Standard)
..... download Xtra 90 App



