Singida - Local - Transfer

Gadiel katika majukumu mapya Afrika Kusini

Joel JJ By Joel JJ
β€’
26 Jan 2024
Gadiel katika majukumu mapya Afrika Kusini

Jana klabu ya Cape Town Spurs inayoshiriki ligi kuu nchini Afrika kusini ilitaganza kukamilisha usajili wa mkopo wa msimu mzima wa mlinzi wa kushoto Gadiel Michael kutoka Singida Fountain Gate Fc

Gadiel ameungana na Kocha wake wa Zamani wa Singida Fontaine Gate Ernst Meddendorp

Meddendorp aliitumikia Singida FG mwanzoni mwa msimu huu akidumu na timu hiyo kwa mwezi mmoja tu

Aliondoka akitaja sababu ya kuingiliwa majukumu yake na viongozi wa klabu hiyo

Hii ni nafasi kwa Gadiel Michael kutimiza ndoto yake ya kucheza soka nje ya nchi

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’