Yanga - KMC - Local

Yanga mikononi mwa KMC, NBC PL

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Feb 2024
Yanga mikononi mwa KMC, NBC PL

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga leo wako mkoani Morogoro kumenyana na KMC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Baada ya kukamilika mechi 15 za duru ya kwanza, Yanga inaanza kampeni ya kusaka alama 45 za nusu ya pili ya msimu

Wananchi wataingia kwenye mchezo huo wakiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 5-0 waliopata katika mchezo wa duru ya kwanza lakini ni wazi mechi ya leo itakuwa tofauti

KMC ni mongoni mwa timu zinazofanya vizuri msimu huu ikiwa imepoteza mechi tatu tu. Adhabu waliyopata katika mchezo wa kwanza itawafanya waingie tofauti leo

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema anatambua mchezo huo hautakuwa rahisi lakini wamejipanga kuwapa furaha mashabiki wao na kuibuka na ushindi

Mchezo utapigwa saa 10 jioni..

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
37m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
49m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’