Mshambuliajii wa Manchester United Muingereza Marcus Rashford, 26, yuko kwenye orodha fupi ya Paris St-Germain kuchukua nafasi ya Kylian Mbappe, 25, ambaye ana nia ya kuondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. (Times - usajili unahitajika)
..... download Xtra 90 App



