Kocha Mkuu wa CR Belouizdad Marcos Paqueta amekiri kuwa mpango wake wa mechi dhidi ya Yanga ulivurugwa na ubora waliokuwa nao nyota wa Yanga katika mchezo wa ligi ya mabingwa uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa juzi na kuishuhudia Yanga ikitinga robo fainali baada ya ushindi wa mabao 4-0
..... download Xtra 90 App



