Azam - Local

Pumzika kwa Amani Dk Mwankemwa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
28 Feb 2024
Pumzika kwa Amani Dk Mwankemwa

Klabu ya Azam Fc iko katika maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Daktari wa timu hiyo Dk Mwanandi Mwankemwa kilichotokea hapo jana

Kifo cha Dk Mwankemwa ni pigo kubwa kwa mpira wa miguu nchini kwani amekuwa Mwanafamilia kwa zaidi ya miaka 15

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Azam Fc, maziko ya Dk Mwankemwa, yatafanyika kesho Alhamisi Februari 29, saa 7 mchana kwenye makaburi ya Kinondoni

Mwili wa marehemu utatokea nyumbani kwake Mwanagati, Temeke, Dar es Salaam

Inna Lillah Wainna Ilayhi Rajiun!

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
29m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’