Simba - Local

Simba kujichimbia Zanzibar

Joel JJ By Joel JJ
β€’
18 Mar 2024
Simba kujichimbia Zanzibar

Kocha Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha amependekeza kikosi chake kuweka kambi ya muda mfupi visiwani Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly ambao mkondo wa kwanza utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, March 29

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema uongozi umepokea mapendekezo ya Benchikha na huenda wakaelekea Zanzibar kuweka kambi hiyo

"Ni kweli kocha wetu (Benchikha) amependekeza timu kuweka kambi ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Al Ahly visiwani Zanzibar"

"Kocha amehitaji mazingira ya utulivu ili kuiandaa timu vyema kuhakikisha tunashinda mchezo huo. Uongozi umepokea mapendekezo hayo na tunaweza kuelekea Zanzibar," alisema Ahmed

Simba imepania kutinga nusu fainali ya ligi ya mabingwa na mkakati ni kuhakikisha ushindi mnono unapatikana katika mchezo wa kwanza utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Ijumaa ya March 29

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
35m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
47m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’