Uwanja wa Samia Suluhu kujengwa Arusha

Joel JJ By Joel JJ β€’ 20th March 2024


Uwanja wa Samia Suluhu kujengwa Arusha

Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Uwanja wa Samia Suluhu Hassan utakaojengwa jijini Arusha na kugharimu Sh bilioni 286

Akishuhudia utiaji saini huo jijini Dar es Salaam jana, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amesema dhumuni la kujenga uwanja huo jijini Arusha ni kwaajili ya kuchochea maendeleo ya sekta ya utalii kupitia michezo

Ujenzi wa uwanja huo ni sehemu ya maandalizi ya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi tatu mwenyeji wa michuano ya Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2027. Mataifa mengine ni Kenya na Uganda


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.