Simba - Local

Al Ahly kutua Jumatano

Joel JJ By Joel JJ
β€’
25 Mar 2024
Al Ahly kutua Jumatano

Uongozi wa Simba umethibitisha kuwa klabu ya Al Ahly itawasili nchini Jumatano, March 27 siku mbili kabla ya mchezo dhidi ya Simba

Mchezo huo wa mkondo wa kwanza robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika utapigwa Ijumaa March 29 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Al Ahly wanatarajiwa kutua nchini kwa usafiri wa ndege binafsi

Ahmed aita mashabiki kwa Mkapa

Katika hatua nyingine, Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amewataka mashabiki kutumia siku chache zilizobaki kununua tiketi ili kuhakikisha wanaujaza uwanja wa Benjamin Mkapa

"Sasa tumeingia Wiki ya maamuzi, maamuzi ya kununua tiketi kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Al Ahly," alindika Ahmed katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Wakati tiketi za Platinum, Tanzanite na VIP A zikiwa zimemalizika, kasi ya manunuzi ya tiketi za madaraja mengine imekuwa ndogo

Matarajio ni kuwa kasi hiyo itaongezeka kuanzia leo na pengine katika siku zilizobaki Wanamsimbazi watachangamkia tiketi zote ili kujaza dimba la Mkapa

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
28m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’