Arsenal ina orodha ya wachezaji 10 wanaowania nafasi ya mshambuliaji mpya msimu huu wa joto huku Mslovenia wa RB Leipzig Benjamin Sesko, 20, Viktor Gyokeres wa Sporting Lisbon , 25, na mchezaji mwenzake wa kimataifa wa Uswidi, Alexander Isak, 24, wa Newcastle , wakiwa miongoni mwa wale wanaofuatiliwa.(Mirror)
..... download Xtra 90 App



