Simba - Local - Ahly

Al Ahly yaichapa Simba kwa Mkapa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
29 Mar 2024
Al Ahly yaichapa Simba kwa Mkapa

Mchezo wa kwanza wa robo fainali ligi ya mabingwa kati ya Simba dhidi ya Al Ahly umemalizika kwa wageni kuibuka na ushindi wa bao 1-0

Bao la dakika ya 5 lilifungwa na Ahmed Kouka lilidumu hadi dakika 90 za mchezo huo

Simba ilitengeneza nafasi nyingi katika mchezo huo lakini changamoto katika umaliziaji imeikosesha Simba matokeo mazuri leo

Ni mlima mrefu kwa Simba kwani ili kuweza kutinga nusu fainali itahitaji kushinda angalau mabao 2 katika mchezo wa marudiano utakaopigwa Misri wiki ijayo

Hakuna jambo lisilowezekana katika mpira wa miguu

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’