Yanga - Local - Mamelodi

Mwamuzi Yanga vs Mamelodi kuchezesha Olimpiki

Joel JJ By Joel JJ
β€’
11 Apr 2024
Mwamuzi Yanga vs Mamelodi kuchezesha Olimpiki

Mwamuzi Beida Dahane kutoka Maurtania ni miongoni mwa waamuzi 12 kutoka Afrika waliojumuishwa kwenye jopo la waamuzi watakaosimamia sheria za kandanda katika michezo ya Olimpiki ya baadae mwaka huu

Mwamuzi huyo atakumbukwa mno na wapenda soka hasa mashabiki wa Yanga kutokana na tukio la utata katika mchezo dhidi ya Mamelodi Sundowns uliopigwa nchini Afrika Kusini juma lililopita

Mpira uliopigwa na Stephan Aziz Ki ulidhaniwa kuwa goli lakini mwamuzi huyo alitoka na maamuzi ya tofauti na kuamuru hakuna goli ,maamuzi yaliyopigwa na wanazi wa soka kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni

Kujumuishwa kwa mwamuzi huyo katika michuano hiyo inayotarajiwa kutimua vumbi baadae mwaka huu jijiji Paris nchini Ufaransa kumetafsiriwa kuwa ni imani waliyonayo Shirikisho la Mpira wa Miguu ulimwenguni ( FIFA) juu yake

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
28m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’