Singida - Local

Julio njia panda Singida FG

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 Apr 2024
Julio njia panda Singida FG

Kocha wa Singida Fountain Gate, Jamhuri Kihwelo ’Julio’ amesema hajajua hatma yake ndani ya kikosi chake na anataka kuzungumza na Rais wa timu hiyo Japhet Makao ili kujua hatma yake kikosini humo

Kocha huyo hivi sasa yuko zake Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Sikukuu na kikosi hicho kipo chini ya kocha msaidizi Ngawina Ngawina

"Nimekuja nyumbani kula sikukuu na familia yangu na timu iko chini ya msaidizi wangu. Kuna vitu haviko sawa. Nasubiri kukutana na Rais ambaye alikuwa Afrika Kusini tuzungume na mambo yakienda sawa nitabakia," aliseema Julio

Julio aliyeinusuru KMC kushuka msimu uliopita amesema makocha wa Kitanzania wanaonekana hawawezi, lakini makocha kutoka nje wanathaminiwa

"Mimi ni kama Mpalestina, sitaki kusifiwa najisifia mwenyewe, lakini makocha wa Kitanzania tunakutana na changamoto ndani ya soka letu"

"Akija kocha Mzungu na kuna vitu akisema haraka vitu hivyo vinafanyika, lakini akija Julio au kocha mwingine wa ndani anaonekana haiwezekani" alisema Julio

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
29m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’