TFF imeweka hadharani viingilio vya mchezo wa dabi ya Kariakoo kati ya Yanga dhidi ya Simba utakaopigwa Jumamosi, April 20 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Mzunguuko ni Tsh 5,000/- wakati kiingilio cha juu VIP A ni Tsh 50,000/-