Klabu ya Yanga leo imeingia makubaliano ya ushirikiano na Bank ya NBC ambapo kupitia ushirikiano huo, Wanachama na Mashabiki wa Yanga wanaweza kujisajili na kulipa ada za uanachama katika benki ya NBC. Ni ushirikiano ambao Yanga pia imeingia na mabenki mengine kama CRDB na NMB
..... download Xtra 90 App



