Azam - Simba - Local

Simba, Azam Fc vitani Muungano Cup

Joel JJ By Joel JJ
β€’
22 Apr 2024
Simba, Azam Fc vitani Muungano Cup

Klabu za Simba na Azam Fc zitaiwakilisha Tanzania Bara katika michuano maalum ya Muungano itakayopigwa kuanzia Jumatano, April 24 uwanja wa New Amaan Complex, visiwani Zanzibar

Azam Fc wamechukua nafasi ya Yanga ambayo ilipaswa kushiriki kwa kuwa mabingwa wa Tanzania Bara sambamba na Simba iliyomaliza nafasi ya pili msimu uliopita

Kulingana na ratiba iliyotolewa na TFF na ZFF, mechi za nusu fainali zitapigwa April 24 ambapo Simba itachuana na KVZ wakati Azam Fc wakichuana na KMKM

Mchezo wa fainali utapigwa April 27 simu moja baada ya shamrashamra za Muungano, April 26

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
3m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
32m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’