Michuano ya CECAFA Julai 2024

Joel JJ By Joel JJ
β€’
22 Apr 2024
Michuano ya CECAFA Julai 2024

Michuano ya CECAFA Senior Chalenji ambayo kwa mwaka huu yatafanyika hapa Visiwani Zanzibar, yamesogezwa mbele hadi Julai 6, badala ya Juni 29, tarehe iliyopangwa hapo awali

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF), Hussein Ahmada Vuai asema kusogezwa mbele kwa mashindano hayo kumetokana na sababu ambazo zipo nje ya uwezo wao, ikiwamo ombi la wadhamini ambao wameomba kufanyika mwezi huo

Alisema matarajio yao katika mashindano hayo ni kuwapo kwa ushindani mkali kwa nchi shiriki, ambapo sasa yataanza Julai 6 hadi 21, mwaka huu

Vuai alisema maandalizi yanakwenda vizuri na tayari timu ya CECAFA ambayo walikuwa na ukaguzi wa miundombinu kwa ujumla wake kwa ajili ya mashindano ya shule kwa vijana walipata nafasi hiyo ya kukagua miundombinu yote ya Zanzibar kwa hatua ya awali

Aidha, alisema timu hiyo ya ukaguzi, inatarajiwa kuja tena kufanya ukaguzi huo kutokana na taratibu zao, ingawa wameridhishwa na hali ya miundombinu ya hapa nchini

ADVERTISE HERE

More Stories

Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
49m ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
3h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
5h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
6h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
6h ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
8h ago
READ MORE β†’
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
9h ago
READ MORE β†’
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
9h ago
READ MORE β†’
Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or
Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or
21h ago
READ MORE β†’
Samatta katika mtihani mzito: Le Havre ikiikaribisha PSG leo
Samatta katika mtihani mzito: Le Havre ikiikaribisha PSG leo
1d ago
READ MORE β†’