Klabu ya Yanga imefungiwa usajili mpaka itakapomlipa aliyekuwa mchezaji wake raia wa Zambia Lazarus Kambole
Uamuzi huo umetolewa na FIFA mara baada ya Yanga kushindwa kumlipa mchezaji huyo ndani ya siku 45 tangu uamuzi wa awali ulipotolewa

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.