Klabu ya Mashujaa Fc imetangaza kuachana na aliyekuwa mshambuliaji wao Adam Adam zikiwa zimesalia mechi mbili kabla ya msimu kumalizika
Taarifa iliyotolewa na Mashujaa Fc mapema leo, imebainisha kuwa uamuzi huo umefikiwa baada ya makubaliano ya pande mbili




