Yanga - Simba - Azam - Local

Yanga yavuna Milioni 600 ubingwa NBC PL

Joel JJ By Joel JJ
β€’
29 May 2024
Yanga yavuna Milioni 600 ubingwa NBC PL

Baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Yanga imeondoka na kitita cha Tsh Milioni 600 huu ukiwa msimu wa tatu mfululizo

Kiasi hicho cha fedha ni kutoka kwa wadhamini Azam Media (500M) na NBC Bank (100M)

Azam Fc walioshika nafasi ya pili wameondoka na Tsh Milioni 300 huku Simba iliyomaliza nafasi ya tatu ikiambulia Tsh Milioni 255

Huu hapa msimamo wa ligi ya fedha baada ya msimu kumalizika;

1. Yanga (Sh 600,000,000)
2. Azam (Sh 300,000,000)
3. Simba (Sh 255,000,000)
4. Coastal Union (Sh 200,000,000)
5. KMC (Sh 65,000,000)
6. Namungo (Sh 60,000,000)
7. Ihefu (Sh 55,000,000)
8. Mashujaa (Sh 50,000,000)
9. Tanzania Prisons (Sh 45,000,000)
10. Kagera Sugar (Sh 40,000,000)
11. Singida FG (Sh 35,000,000)
12. Dodoma Jiji (Sh 30,000,000)
13. JKT Tanzania (Sh 25,000,000)
14. Tabora United (Sh 20,000,000)
15. Geita Gold (Sh 10,000,000)
16. Mtibwa Sugar (Sh 10,000,000)

TIMU YENYE NIDHAMU: (Tsh 20,000,000)

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
2h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
6h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
6h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
7h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
7h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
8h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
9h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
9h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
22h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’