Ihefu - Singida - Local

Ihefu sasa ni Singida Black Stars

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 Jun 2024
Ihefu sasa ni Singida Black Stars

Klabu ya Ihefu Fc ambayo kwa sasa makazi yake ni mkoani Singida, imetangaza mchakato wa kubadili jina umekamilika hivyo kwa sasa timu hiyo ifahamike kama SINGIDA BLACK STARS

Klabu hiyo imetoa taarifa kwa UMMA juu ya mabadiliko hayo;

"Tunaifahamu kwa jina la Singida Black Stars ambapo msimu ulioisha ilikuwa ikiitwa Ihefu Fc na hii ni baada ya kutangaza kuachana rasmi na jina la IHEFU SC baada ya mchakato wa mabadiliko ya usajili wa jina la Singida Black Stars kukamilika"

"Kuanzia sasa timu itafahamika kwa jina la Singida Black Stars SC na Makao Makuu ya Klabu yatakuwa mjini Singida,

"Mabadiliko haya ni sehemu ya maboresho muhimu yanayoendelea ndani ya klabu kuelekea maandalizi ya msimu wa mashindano 2024/2025.”

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
28m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’