Argentina - International

Argentina yapania kutetea Copa America

Joel JJ By Joel JJ
β€’
22 Jun 2024
Argentina yapania kutetea Copa America

Bingwa mtetezi wa Kombe la Copa America, Argentina imeanza vyema kutetea taji hilo baada ya kuibuka na ushindi mabao 2-0 dhidi ya Canada katika mechi ya ufunguzi wa michuano hiyo hatua ya makundi

Argentina inasaka taji lake la tatu mfululizo baada ya kushinda Copa America ya 2021 na Kombe la Dunia la 2022 na imeanza kampeni hiyo kundi A katika uwanja wa Mercedes-Benz uliopo Atlanta, Georgia Marekani

Lionel Messi, ambaye atafikisha miaka 37 Juni 24, alitengeneza bao la kwanza alipopitisha pasi katikati ya walinzi wa Canada kwenda kwa Alexis Mac Allister aliyeupiga mpira kwa mguu wa kulia na Julian Alvarez kufunga dakia 49 huku akigongana na mlinda lango Maxime Crepea

Kisha Messi akatoa pasi ya bao la pili la Lautaro Martinez dakika ya 88. Messi amevunja rekodi ya Copa America kwa kucheza mechi yake ya 35, moja zaidi ya Sergio Livingstone wa Chile kuanzia mwaka 1941 hadi 1953. Messi ameendeleza rekodi yake mwenyewe kwa kutoa pasi ya 18

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
2m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
31m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’