Nyota wa timu ya soka Paris Saint-Germain (PSG), Achraf Hakimi ametua nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), akipokewa na mwenyeji wake Rais wa Yanga Hersi Said
Nyota huyo amekuja na rafiki zake saba na atakuwa nchini kwa wiki moja wakitembelea vivutio mbalimbali vilivyopo nchini



