Yanga - Local

Hakimi aacha alama Tanzania

Joel JJ By Joel JJ
β€’
27 Jun 2024
Hakimi aacha alama Tanzania

Leo Patand Shule ya Sekondari wamekuwa wanufaika wa kwanza wa Taasisi ya mchezaji bora Afrika, mzaliwa wa Spain anayekipiga katika moja ya vilabu bora na mashuhuri ulimwenguni cha PSG. Achraf hakimi

Kupitia Achraf Hakimi Foundation, misaada hiyo ilikabidhiwa kwa uongozi wa shule hiyo na mmiliki wa foundation, Hakimi ikiwa ni sehemu ya ziara yake nchini kwa mualiko maalum wa rais wa Yanga Injinia Hersi Said

Patand Seekondari ni shule pekee nchini inayochukua watoto walemavu wa kila aina katika darasa moja imepata udhamini wa mambo kadha wa kadha ikiwemo madarasa mawili yatakayokuwa na desktop 50, laptops, incinerator, projectors, Orbit readers, Embosser 12', Water boiler na tanks n.k 

Aidha GSM kupitia klabu ya Yanga walitoa vitanda 40 pamoja na magodoro yake kwa ajili watoto wa bweni

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
45m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’