Manchester United wanakaribia kumsajili Joshua Zirkzee, Arsenal bado hawajafikia bei ya Riccardo Calafiori na Pascal Gross anatarajiwa kujiunga na Borussia Dortmund. Manchester United wamekubaliana masharti ya kibinafsi na mshambuliaji wa Uholanzi Joshua Zirkzee na wako kwenye mazungumzo na Bologna kuhusu jinsi klabu hiyo ya Italia inataka kima cha ya kuachiliwa kwa mchezaji huyo mwenye umri wa..... download Xtra 90 App



