Klabu ya Coastal Union inatajwa kuwa mbioni kumsajili mlinzi wa zamani wa klabu za AS Vita na Yanga, Djuma Shabani
Coastal Union ambayo msimu ujao itashiriki michuano ya kombe la Shirikisho la CAF, imemtaka mchezaji huyo ili kujiimarisha kwa ajili ya michuano hiyo
Djuma amekuwa nje pasipo na timu baada ya mpango wa kujiunga na Azam Fc kukwama
Beki huyo ambaye pia amewahi kujumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya DR Congo, tayari yuko Tanga kukamilisha usajili wake
ADVERTISE HERE