Yanga - Local

Hamisa afichua alivyombakisha Aziz Ki Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
16 Jul 2024
Hamisa afichua alivyombakisha Aziz Ki Yanga

Baada ya Hamisa Mobetto kuhusishwa na nyota wa Yanga, Stephane Azizi Ki, mwanamitindo huyo amevunja ukimya juu ya sakata hilo

Hamisa amesema picha na video zinazoendelea katika mitandao ya kijamii kati yake na Ki ni kwa sababu ni rafiki yake wa karibu

"Nilimwambia Azizi Ki asiondoke, ndio mana niliandika maneno kama angeondoka ingekuwaje? Na kama Azizi Ki angeondoka ningepanda ndege kumfata popote alipo, "alisema Hamisa na kuongeza kuwa Ki ni mchezaji mzuri

“Binafsi sikufatwa na mtu yoyote kumshawishi Azizi Ki kubaki, bali nilimshauri tu na yeye ameamua mwenyewe ukizingatia ni mchezaji mzuri anastahili kuendelea kucheza Yanga"

Aziz Ki amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Yanga ambao utamuweka mikononi mwa Wananchi hadi mwaka 2026

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
47m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’