Klabu ya Namungo Fc imekamilisha usajili wa beki wa kulia Djuma Shaban aliyekuwa mchezaji huru
Awali Djuma alikuwa akitajwa kutua Coastal Union hata hivyo Namungo inayonolewa na Mcongoman Mwinyi Zahera imefanikiwa kuinasa saini ya beki huyo wa zamani klabu za AS Vita na Yanga





