Ufunguzi wa msimu mwingine wa mashindano Tanzania Bara unafanyika leo kwa mechi za Ngao ya Jamii kupigwa kuanzia hatua ya nusu fainali
Saa 10 jion mchezo wa kwanza wa nusu fainali kati ya Coastal Union dhidi ya Azam Fc utapigwa uwanja wa New Amaan Complex saa 10 jioni
Mtanange utakaofuata ni watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa saa 1 usiku




