Yanga - Simba - Azam - Local

Yanga, Azam Fc kuchuana fainali Ngao ya Jamii

Joel JJ By Joel JJ
β€’
8 Aug 2024
Yanga, Azam Fc kuchuana fainali Ngao ya Jamii

Yanga na Azam Fc zitacheza fainali ya Ngao ya Jamii baada ya kushinda mechi za nusu fainali leo

Mchezo uliomalizika usiku huu, Yanga imeendeleza ubabe dhidi ya watani zao Simba baada ya ushindi wa bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Bao pekee la Yanga lilifungwa na Maxi Nzengeli katika dakika ya 44 ya mchezo

Ulikuwa mchezo wenye upinzani mkali lakini ni wazi Yanga imeendelea kuibuka kidedea dhidi ya watani zao ukiwa mchezo wa tatu mfululizo wanashinda

Mapema Azam Fc ilitinga fainali kibabe kwa kuichapa Coastal Union mabao 5-2 katika mchezo uliopigwa uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar

Yanga na Azam Fc sasa zitakutana kwenye fainali ya Ngao ya Jamii August 11 wakati Simba ikichuana na Coastal Union kusaka nafasi ya tatu

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
47m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’