Simba - Local

Simba Queens yaanza kibabe michuano ya CECAFA

Joel JJ By Joel JJ
β€’
19 Aug 2024
Simba Queens yaanza kibabe michuano ya CECAFA

Simba Queens imeanza vyema michuano ya CECAFA kuwania ubingwa wa ukanda wa Afrika Mashariki kwa soka la Wanawake wakiifumua Fad Djibouti mabao 5-0

Mchezo huo ulichelewa kuanza baada ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Ethiopia kujaza maji uwanja

Hata hivyo changamoto hiyo haikuvuruga mipango ya Kocha Juma Mgunda ambaye amepania kutwaa taji hilo ili kuipa Simba Queens tiketi ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa ya Wanawake msimu huu

Mabao ya Simba Queens yalifungwa na Jentrix Shikangwa, Elizabeth Wambui huku Aisha Rashid akifunga mabao matatu 'hat-trik'

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
44m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’